Timothy Weah ni mtoto wa Rais wa Liberia, George Weah ambapo jana aliweza kuipatia goli moja kabla ya Wales kuja kuzawazisha kwa mkwaju wa penat iliyopigwa na Gareth Bale.
George weah imesemekana amechukua per diem ya milion 4 kwa siku moja kwenda Qatar kumtizama mwanae anayekipiga huku USA na...