timu bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Timu ya Taifa ya Ivory Coast timu bora ya Taifa ya wanaume

    Timu ya Taifa ya Ivory Coast ambao ni mabingwa watetezi wa AFCON , wametajwa kuwa timu bora ya Taifa kwa upande wa wanaume
  2. Mbona Wachambuzi wa Soka la Tanzania katika Redio na Runinga sasa hawatuambii tena Timu bora kati ya Simba na Yanga ni ipi?

    Na walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo anaongoza Ligi na huenda akaongoza hadi Ubingwa siyo Timu bora. GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely...
  3. Taifa Stars ya sasa ndio timu bora kuwahi kutokea wachambuzi wa mchongo wapuuzwe

    Just imagine squad yote kuanzia kipa, beki winga viungo mpaka washambuliaji wote ni wa hapa hapa ligi kuu ya NBCPL, Mnataka wacheze soka safi la kufunguka bila mipango ili iweje? Hivi mnajua mpira kweli ninyi wachambuzi wa mitandaoni? Timu ipo nafasi ya pili kwenye kundi, na kama sio makosa ya...
  4. R

    Simba wanaenda kukutana timu Bora ahliy tirpol ya Libya,

    Heshima kwenu Wana jf,turudi kwenye topic,Kwanza niwe muwazi Mimi ni mshabiki wa Simba sport club,kikwel this time tunaenda kukutana na timu nzuri ahliy tripol ya Libya,ukiangalia rank za caf tumewaacha mbali,lakini tukirudi kwenye msimu huu ahliy tripol wamefanya usajili mzuri,wamemsajili...
  5. Manchester United ni timu bora duniani kuliko Real Madrid

    Mbali na Real Madrid kuchukua kombe msimu huu kutokana na kuwa na bahati tu ila ukija kwenye ubora wa timu basi Manchester United ni zaidi ya Madrid Kwakuangalia uwezo wa nchezaji mmoja mmoja kati ya United na Madrid utagundua kuwa Manchester United wana qualities player kuliko Real Madrid Pia...
  6. J

    Kwa takwinu hizi, Yanga kutolewa ni haki, ingeitoa Mamelodi ndio isingekuwa haki, Mamelodi alikuwa timu bora

    Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio...
  7. Jinsi tuzo ya CAF ya timu bora ya karne waliyopewa Al Ahly ilivyozua mgogoro mkubwa

    Hivi umewahi kujiuliza ni kwa vigezo gani CAF waliitangaza Al Ahly kuwa ni timu bora ya karne ya 20? Wengi mnadhani ni kwa kubeba makombe mengi kuliko timu nyingine yoyote lakini siyo kweli. Karne ya 20 iliisha 31/12/2000. Katika mafanikio ya Al Ahly hadi kufikia tarehe hiyo, katika mashindano...
  8. S

    Timu bora huanza kujichuja kuanzia hatua ya Robo Fainali

    Huu ndio ukweli kwani humu katika makundi na kufuzu kuingia hatua ya makundi, huwa kuna timu dhaifu sana kutegemea na ligi yao na pia kwa kanuni za siku hiz,i wanaoshiriki sio wote ni mabingwa katika ligi zao bali ni utaratibu tu wa siku hizi unawabeba tofauti na zamani. Hivyo, kuanzia hatua ya...
  9. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo serikali inapaswa kufanya haya ili tupate timu bora ya taifa itakayowakilisha vyema taifa letu

    Mpira wa miguu ni mchezo maarufu na wa kusisimua unaounganisha tamaduni na mataifa. Timu ya taifa ya Mpira wa miguu inaweza kutumika kama kichocheo cha kukuza fahari na mshikamano miongoni mwa raia wa nchi. Hivyo, ni muhimu sana kwa serikali kuweka msingi bora kwa vijana ili kutengeneza timu...
  10. Yanga ndio timu pekee iliyotoa wachezaji wengi kucheza AFCON 2024, timu bora inaendana na usajili bora

    Ni ngumu sana kupenya kwenye vikosi vya timu za taifa kwenda kucheza michuano mikubwa barani afrika, ubora pekee wa mchezaji husika ndio umpelekea kocha kumjumuisha mchezaji kwenye kikosi chake Cha mapambano! Kwa Tanzania ni klabu moja pekee iliyofanikiwa kupeleka wachezaji wengi kwenye timu za...
  11. Namna IFFHS inavyotoa takwimu za timu bora afrika na Yanga kwa ujumla

    Baada ya IFFHS kutoa list ya vilabu bora Africa baadhi ya watu wamehoji kwa nini Yanga wamekaa juu ya Mamelodi Sundowns na USM Alger bingwa wa (CAF-CC) ?! Kabla ya kubisha unatakiwa kujua ni vigezo gani vinatumika kupanga list ya vilabu bora Duniani kwa mujibu wa IFFHS.. ๐—ฉ๐—ถ๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ...
  12. ANGALIZO: Wazee wa kubadili gia angani mseme mapema kama El Merekh ni timu bora ama mbovu

    Hatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka! Inatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke kumbukumbu sawa. Kuna wale vijana wa Mwenyekiti Rage washasema ndio mwisho wa Yanga, hawatoboi kutokana na...
  13. Timu bora imechukua ngao leo hayo mengine mnajifariji tu

    Simba sc mnyama hatari kafanya yake leo, na ndiyo timu kubwa zinavyobeba makombe. Eti oooh tumeupiga mwingi, sasa kama umecheza vizuri umeshindwa vipi kufunga magoli, ukweli usemwe leo simba waliingia kwa ajili ya kubeba hiki kikombe na wamefanikiwa. Nyie mlioingia kwa ajili ya kutandaza...
  14. Timu bora imepoteza mechi kwa penalti, mashabiki na wanachama msihuzunike mnayo timu bora msimu huu

    Najua wanachama na mashabiki mmehuzunika kupoteza ngao leo lakini huzuni yenu itakwisha siku sio nyingi! Yanga wameonyesha bado wanacho kikosi bora sana kuanzia beki na viungo but tatizo lipo kwenye final third, ambalo nafikiri kocha gamond anatakiwa alifanyie kazi, na aanze kumtumia Hafidh...
  15. SoC03 Je, Serikali inawezaje Kuweka Msingi Bora kwa Vijana ili Kutengeneza Timu Bora ya Taifa itakayoweza kushiriki na kushinda michuano ya kimataifa?

    Utangulizi Mpira wa miguu ni mchezo maarufu na wa kusisimua unaounganisha tamaduni na mataifa. Timu ya taifa ya Mpira wa miguu inaweza kutumika kama kichocheo cha kukuza fahari na mshikamano miongoni mwa raia wa nchi (Kielelezo 1). Hivyo, ni muhimu sana kwa serikali kuweka msingi bora kwa vijana...
  16. M

    Timu bora hutoa wachezaji bora, Yanga yaongoza kwa kutoa wachezaji bora timu za Taifa

    Takribani wachezaji 12 wa yanga wameitwa timu za taifa ktk nchi zao, icho ni kielelezo cha kuwa na wachezaji bora na usajili bora, wachezaji 12 ni sawa na first eleven ya timu nzima na mchezaji mmoja wa akiba, list ifatayo ni wachezaji walioitwa timu za taifa; Tanzania; Bakari Nondo Mwamnyeto...
  17. Simba Timu Bora Tanzania 2023

    Ukiachana na wale ambao ni Team Kamati ya roho mbaya, kila shabiki wa soka Tanzania anajua kwamba timu ya Simba kwa mwaka 2023 ndiyo timu bora Tanzania!!
  18. Barcelona ya Mwaka 2009 - 2011 ndio timu bora ya wakati wote kwa upande wangu

    Barcelona iliyoundwa na Valdes golini. Mabeki kama Dani Alves, Puyol, Mascherano na Eric Abidal. Viungo walikuwepo Sergio Busquets, Xavi na Mtaalam Iniesta. Safu ya ushambuliaji ikiongozwa na Leo Messi, David Villa na Thiery Henry. Pia benchi unawakuta akina Pique, Keita, Pedro, Bojan, na...
  19. Kati ya Yanga na Simba ipi timu bora hapa Tanzania?

    Tuache ushabiki, tuambiane ukweli.Kati ya Simba na Yanga ipi timu bora hapa Tanzania?
  20. Gharama ya kuweka kambi Dubai ingetumika kusajili wachezaji bora

    Hivi kuweka kambi Bora huku ukiwa na wachezaji magarasa inaweza kusaidia kuboresha performance ya timu kweli? Unashindwa kusajili wachezaji wazuri, unakimbilia kusajili kocha mzuri na kuweka kambi nzuri halafu unategemea ufanye vizuri? Kuweka Kambi mahala pazuri au kuwa na kocha mzuri huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ