timu kutumika kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nini hatima ya wafuasi wa CHADEMA katika mpira wa Tanzania ?

    Baada ya tukio la hivi karibuni la timu za Simba, Yanga na Azama kushiriki kikamilifu katika siasa za kuiunga mkono CCM katika mkutana mkubwa wa UVCCM kupitia wasemaji wao rasmi wa timu , Je wanachama, wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wanapaswa kuchukua hatua gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…