Jiehi la plisi mkoani Kilimanjaro,linashilikia simu za kiganjani za mfanyabiashara maarufu mjini moshi(jia tunalo)akihusishwa na tukio la kumwagiwa kimiminika kinachoaminika kuwa ni tindikali kada wa ccm,Idrisa Makishe.
Makishe(38)mkazi wa Bomambuzi Manispaa ya Moshi,yupo kitandani akipambania...
Siku ya Leo limetoka igizo Moja ya kiongozi wa ccm eti kamwagiwa TINDIKALI kumbe Yale ni maji ya moto wanaigiza Ili kupoza raia wasiingie ground tarehe 23 nasema hivi ccm acheni kuigiza mnajimwagia maji ya moto ambayo Kila siku tunayaoga mnaema eti kamwagiwa TINDIKALIwezi nyie
Tarehe 22 Mei 2018 taarifa ilitoka kwenye vyombo vya habari kuwa mwanamke anayeitwa Berlina Wallace, mwenye miaka 49 amekutwa na hatia ya kumjeruhi mpenzi wake wa zamani Mark van Dongen umri miaka 29, kwa kumwagia tindikali (acid) kiasi cha kumsababishia upofu wa macho na kumuunguza sura...
Suala la rushwa na kudhibiti kwake bado kuna ugumu na changamoto kubwa licha ya jitihada zinazofanywa na taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa hapa nchini. Suala la rushwa ni moja ya kikwazo ambacho kinakawamisha maendeleo katika jamii yeyote hile kwani inazuia haki ya watu wengine. kuna mambo...
Wapelelezi wapo na wanakula kodi za Watanganyika. Zijui kuhusu za Wazanzibari.
Mpaka haijulikani nani alifanya jinai hii ya kumwagia mtu acid usoni.
Mbona majambazi wanayakamata kila siku?
Miaka 16?
"Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui Sheria zozote za Soka kitu ambacho Kilinisikitisha mno kwani hizi Sheria zote ziko Online na kila Mtu...
AMWAGIA TINDIKALI (ACID) KISHA AKAMUUA MCHEPUKO WAKE
Mume wa mtu nchini Kenya, Evans Karani (38) ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mchepuko wake kwa jina la Catherine Nyokabi (25) huko Juja, Kiambu.
Kwa mujibu wa television ya K24 na Standard Media, Mamlaka za serikali nchini humo zimesema...
Shahidi kesi ya Kubenea: Watuhumiwa waliahidiwa mil. 2/-
Na Mwandishi Wetu
SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya kuwajeruhi na kuwamwagia tindikali waandishi wawili wa magazeti ya Mwanahalisi na Mseto, amedai watuhumiwa waliahidiwa kulipwa sh milioni mbili na bosi wa Kampuni ya Bakhresa, endapo...
Kuna habari kwamba watu wasiojulikana wanaodhaniwa kuwa majambazi wamemvamia mhariri na mmiliki wa Mwanahalisi, Saed Kubena na kumkata kwa mapanga. Habari zaidi baadaye.
===========
Mwanahabari Saed Kubenea akiwa hospitali baada ya kumwagiwa tindikali
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.