Shahidi kesi ya Kubenea: Watuhumiwa waliahidiwa mil. 2/-
Na Mwandishi Wetu
SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya kuwajeruhi na kuwamwagia tindikali waandishi wawili wa magazeti ya Mwanahalisi na Mseto, amedai watuhumiwa waliahidiwa kulipwa sh milioni mbili na bosi wa Kampuni ya Bakhresa, endapo...