tishio kwa afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    KERO Huu mfereji mitaa ya Mwembeyanga Buza ni mbovu na una harufu kali, kwani Viongozi hawaoni au dharau?

    Maeneo ya Buza, hususan Mwembeyanga, yamegeuka kuwa kitovu cha changamoto kubwa za kimazingira. Mtaro wa maji machafu unaoanzia Mwembeyanga hadi karibu na Kituo cha Daladala cha Usalama unasababisha adha kubwa kwa wakazi na wapita njia wa eneo hilo. Mtaro huu, ambao kwa kawaida unapaswa...
  2. N

    KERO Keko Mwanga: Mtaa unaonuka, mitaro ya maji taka ni tishio afya za Wananchi, agizo la DC ni kama ‘limepuuzwa’

    Unapotua tu katika mtaa huu wa Keko Mwanga katika Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam utagundua mabadiliko ya hewa tofauti na ulipotoka, harufu inayotoka hapa, hewa inayovutwa eneo hili si ya kawaida na maeneo mengine, harufu ni kali na mbaya ya uchafu. Harufu hii inatokana na mitaro ya maji...
Back
Top Bottom