Unapotua tu katika mtaa huu wa Keko Mwanga katika Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam utagundua mabadiliko ya hewa tofauti na ulipotoka, harufu inayotoka hapa, hewa inayovutwa eneo hili si ya kawaida na maeneo mengine, harufu ni kali na mbaya ya uchafu.
Harufu hii inatokana na mitaro ya maji...