Ndugu mheshimiwa Waziri naandika haya kukujuza kuwa. Kwa sasa nchini kiwango cha kelele mitaani kinatisha, ni jukumu la serikali kuchukua hatua ili kulinda Afya za wananchi na ustawi wa Taifa.
Ndugu Waziri, leo hii kwenye vituo vya mabasi, masokoni, mitaani, kelele zimekuwa ni nyingi na tena...