Mwanamuziki Mkongwe wa kundi la Jackson 5 Tito Jackson (70) ambaye ni Kaka wa Marehemu Michael Jackson, amefariki dunia.
Siku chache kabla ya kifo chake, aliposti ujumbe akiwa nchini Ujerumani ambapo kundi lao lilitembelea eneo la kumbukumbu ya ndugu yao Michael.
Jackson 5 lilianzishwa mwaka...