Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ni miongoni mwa Watu Wazito waliofika nyumbani kwa Ras wa Kilimanjaro aliyefariki kwa ajali ya gari .
Huyu hapa
---
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amefika nyumbani kwa...
Taarifa za awali kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Tixon Nzunda pamoja na dereva wake wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea eneo la Mjohoroni mkoani humo.
Bado mamlaka husika hazijatoa taarifa juu ya ajali hiyo.
Picha kutoka eneo ilipotokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.