TAARIFA KWA UMMA
Baraza Kuu la Wanawake Chadema linawatangazia wanachama wake mambo yafuatayo;
Tumefuatilia kitu kinachoitwa TK Movement na Kujiridhisha kwamba wapo baadhi ya wanachama wetu, wameamua kujiunga na Movement hiyo.
Tumejiridhisha kuwa TK ni Sehemu ya CCM hivyo msishirikiane nao na...
KUNDI la Viana la TK Movement linalofadhiliwa na kulipwa mshahara na Mheshimiwa Huseni Bashe kwa ajili ya kujipanga na mambo ya 2025 (kumzunguka Samia) mbona mko kimya kumsaidia kujibu tuhuma zinazomkabili za kashfa ya kutoa vibali vya sukari kwa kampuni za steshenari na kuuza simu za itel...
TK movement ni vuguvugu lililoanzishwa hivi karibuni likiwa na lengo kuu la kuwaleta pamoja vijana ili kuwajengea fikra za kimapinduzi.
Hatahivyo baadhi ya wanasiasa na wana habari wamekuwa wakipotosha malengo ya vuguvugu hilo huku baadhi yao wakidai Tk movement inaingilia shabaha za Umoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.