Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa wito kwa Serikali kufuatia maandamano yaliyofanywa na mamia ya wananchi wa Ngorongoro tarehe 18 Agosti, 2024, wakidai kuheshimiwa kwa haki zao za kimsingi. Maandamano haya yalionyesha hisia kali kutoka kwa wananchi wanaopinga kuondolewa kwenye ardhi...