Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa angalizo kwa mikoa ambayo itanyesha mvua kubwa leo ikiwemo Singida, Rukwa, Mbeya, Njombe, Songwe na Iringa.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa kesho Januari 11, 2019 kutakuwa na angalizo la mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Singida, Dodoma, Rukwa, Mbeya...