tmda

TMDA (Tanzania)
Tanzania Medicines and Medical Devices Authority (TMDA) is an Executive Agency under the Ministry of Health (MOH).

TMDA which was formerly known as Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) was established in 2003 after enactment of the Tanzania Food, Drugs and Cosmetics Act, Cap 219 by the Parliament. This Act was later amended in 2019 to Tanzania Medicines and Medical Devices Act, Cap 219 after the shift of responsibilities of regulating food and cosmetics to Tanzania Bureau of Standards (TBS). The change in legislative framework which was done through the Finance Act, No. 8 of 2019 also resulted into the change of name to TMDA

TMDA is now responsible for regulating quality, safety and effectiveness of medicines, medical devices, diagnostics, biocidals and tobacco products. In order to improve public service delivery, TMDA is managed as an Executive Agency in accordance with the Executive Agencies Act, Cap. 245 which was also amended in 2009
  1. Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba(TMDA) ipitie upya baadhi ya Energy drink na vyakula

    Huu Mtandao Umekuwa wa watu wajinga mno ,unaamdika jambo Kwa niaba ya mada ulizo skia Utaambiwa ni ww Kuongozana na wajinga utaitwa mjinga hata kama unawailimisha wale wajinga. Nimefuta nilicho andika. Nikijua sehemu ya kufuta completely mpaka comment nitafanya hivyo.
  2. TMDA yatoa tahadhari kuhusu taarifa ya Dawa za ARV'S kutumika kunenepesha mifugo

    TAHADHARI YA MATUMIZI HATARI YA DAWA ZA KUFUBAZA MAKALI YA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV'S) KUNENEPESHA MIFUGO 1. Mamlaka imepata taarifa juu ya uwepo wa baadhi ya wafugaji wanaotumia vibaya dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARV's) ili kunenepesha mifugo yao. 2. TMDA inapenda kukemea...
  3. K

    Ubora wa ukali ulioletwa na wafanyabiashara wa vibali ulithibitishwa na TMDA?

    Kabla ya matumizi ya sukari iliyoletwa na wafanyabiashara kwa njia ya vibali walitakiwa TMDA watoke hadharani kuwaelezea wananchi kuwa sukari hiyo iliyoletwa ni salama kwa matumizi ya binadamu. Taarifa hii mpaka leo haijatolewa na Mamlaka husika na wako kimya jambo ambalo linaleta wasiwasi...
  4. A

    DOKEZO Baadhi ya Maafisa wa TMDA wanaofanya ukaguzi Maduka ya Dawa wachunguzwe, wanakiuka maadili

    Baadhi ya maafisa wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) ambayo miezi kadhaa iliyopita ilikabidhiwa jukumu la kusimamia maduka ya dawa kutoka Baraza la Famasi ambao walikuwa na jukumu hilo awali, wamekuwa wakienda kwenye maduka ya dawa haswa yenye changamoto ya usajili wa baadhi ya dawa na...
  5. SoC04 Tanzania Tuitakayo: TMDA endelevu dhidi ya Vita ya Dawa Feki

    TFDA ilibadilishwa kisheria na kuwa TMDA tarehe 1 Julai, 2019 baada ya marekebisho ya Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi, Sura ya 219 na Sheria ya Fedha Na. 8 ya 2019. ya bidhaa za chakula. Hivyo kuwepo kwa TMDA ambayo majukumu yake makuu ni kudhibiti usalama, ubora na ufanisi wa dawa, vifaa...
  6. Barua ya Wazi kwa TMDA: Kushughulikia Dawa Zilizoainishwa Kutofaa kwa Matumizi ya Binadamu

    Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) S.L.P 1253 Dodoma / 77150 Dar Es Salaam. Barua pepe: info@tmda.go.tz Tovuti: www.tmda.go.tz Yah: PENDEKEZO LA UTARATIBU WA KUSHUGHULIKA NA DAWA ZISIZOFAA KWA MATUMIZI NCHINI Baadhi ya tafsiri: Dawa zisizofaa kwa matumizi: Ni zile bidhaa...
  7. TBS na TMDA mikate ya maziwa ina ubora na viwango stahiki kuliwa na binadamu?

    Hello wananzengo wa Tanzania popote mlipo duniani. Nautupia huu uzi humu ili tuujadili kwa pamoja. Kumeibuka wimbi la "Mikate ya Maziwa" hapa nchini. Kila sehemu ipo inauzwa. Maswali yangu machache kwa mamlaka za udhibiti ubora (TMDA na TBS) ni haya: 1. Je, tuna taarifa za kutosha juu ya...
  8. Ummy: Msimamo wangu TMDA wasimamie Maduka ya Dawa, Baraza la Famasia libaki kwenye taaluma

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema “Msimamo wangu tubadilishe Sheria ili Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) ndio isimamie maduka ya Dawa kisha Baraza la Famasi libaki kusimamia taaluma, TMDA ina nguvu na inaweza kufanya kazi." mesema hayo Novemba 17, 2023 katika Kongamano la Tatu...
  9. Naibu waziri kigahe: tbs, tmda & sido elimisheni wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amewaagiza wataalam wa uthibitisho wa ubora kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS), TMDA na SIDO kuwaelimisha wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora. Mhe. Kigahe amebainisha hayo Oktoba 18, 2023 alipozindua maonesho ya...
  10. TMDA CERTIFICATE: Yakazi gani dukani?

    Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TMDA wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
  11. Polisi, TMDA wakamata mtandao wa kutengeneza dawa feki za Binadamu Dar

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Kanda ya Mashariki likishirikiana Jeshi la Polisi wanamshikilia William Mwangile anayedaiwa kuzalisha na kusambaza dawa bandia kwa mfumo wa makopo. Mkaguzi wa Dawa wa TMDA, Jafari Mtoro, amesema Mwangile amekamatwa jana Ijumaa Aprili 14, maeneo ya Kipawa...
  12. K

    TMDA dhibitini uuzaji wa dawa holela kwenye vyombo vya usafiri

    TMDA na mamlaka husika chukueni hatua haraka kuna upotoshaji mkubwa wa namna na aina mbalimbali za dawa zinazouzwa kwenye mabus yatokayo Moshi bus stand kwenda Arusha na kwenda Dar. Vijana hao wanasema wanatoka kampuni ya Mama Kilimanjaro. Tafadhalini fuatilieni na mzuei upotofu unafanywa na...
  13. TMDA: 30% ya Maduka Kanda ya Ziwa yanauza Dawa bandia za nguvu za kiume na P2 hatari kwa uzazi

    Asilimia 30 ya maduka ya dawa za binadamu Kanda ya Ziwa Magharibi yanadaiwa kuuza dawa za kuongeza nguvu za kiume ambazo hazijasajiliwa pamoja na dawa za kuharibu vichocheo (hormones) kwa wasichana ili mimba isitungwe maarufu P2, jambo linalotajwa kuhatarisha afya ya uzazi. Meneja wa Mamlaka ya...
  14. Bunge lashauri ukaguzi wa Chakula kufanywa na TMDA na sio TBS

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeishauri serikali kufanya tathmini kuhusu usimamizi wa Usalama wa Chakula kurejeshwa Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA), ili kurahisisha utendaji Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Aloyce Kamamba, amesema Wizara ya Afya na Wizara ya...
  15. Shinyanga: TMDA yakamata shehena ya sigara bandia kutoka Kongo, yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 1

    Mamlaka ya Dawa na Vifaatiba Tanzania (TMDA) kanda ya ziwa magharibi, imekamata shehena ya sigara bandia aina ya SuperMatch yenye thamani ya Sh1.8 bilioni. Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Septemba 28, 2022 na Meneja wa kitengo cha Uhusiano TMDA, Gaudensia Simwanza imeeleza walipokea taarifa...
  16. Hofu ya maji ya maiti kuhifadhia samaki nini hatma yake

    Kwa sasa nchi yetu imekumbwa na taharuki kubwa hasa kwa watumiaji wa samaki baada ya kauli ya Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango pamoja na maelezo yaliyotolewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalah Ullega kuhusiana na matumizi ya maji ya kuoshea maiti. Kwanini Mamlaka za kisayansi ikiwemo...
  17. Dar: TMDA yakamata dawa ambazo hazijasajiliwa, zimo za Kutoa Mimba & za kuongeza Nguvu za Kiume

    MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Mashariki imekamata vifaa tiba na dawa ambazo hazijasajiliwa zenye thamani ya Sh. milioni 294.4. Bidhaa hizo zimekamatwa kufuatia ukaguzi maalum, uliofanyika eneo la Mtaa wa Kitumbini katika Kata ya Mchafukoge katikati ya Jiji la Dar es Salaam...
  18. Laboratory technician ii - 2 post at TMDA

    POST LABORATORY TECHNICIAN II – 2 POST EMPLOYER Tanzania Medicines and Medical Devices Authority (TMDA) APPLICATION TIMELINE: 2022-06-08 2022-06-21 JOB SUMMARY ok DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To clean laboratory equipment and carry out arrangement of instruments; ii.To ensure cleanliness and...
  19. Maofisa watano wa TMDA waliokuwa na tuhuma ya kuhujumu uchumi waachiwa huru

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi ya Uhujumu Uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini Tanzania (TMDA) akiwemo Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula, Raymond Wigenge, waliokuwa wanakabiliwa na shtaka moja la kuisababishia hasara Mamlaka hiyo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…