Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima
X wangu Aka lopoka
Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja
Mni follow basi jaman 😌
Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu.
Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa.
Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
Wakuu salam za hap jukwaani.
Leo kuna kitu nilikuwa nafikiria sana.kama hapo title inavyosema.hivi kweli mwanadamu anatokana na nyani yani kwaakili ya kawaida tu unaweza kujiambia mwenyewe mm nimetokana na nyani hv kweli kabsa? Yani na wizara kabisa inapitisha hzo ni mada mwanafunzi anatakiwa...
Nothing to hide here.
She's my everything the air I breathe my bread when am feeling hungry.
I will cross the ocean for her, I will go bring her the moon, al be her fortress tall and strong. And if there's a mountain to move I will move that mountain for her.
I dont fear death Am ready to...
Pasipo kujali umri wako,
Una watoto wangapi,
Kuna watangulizi wangapi,
Una komwe,
Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi🌹🍎💔
Nawasalimu wakubwa na wadogo zangu
Mimi ni kijana wa kitanzania Mzalendo ambae napenda kujishughulisha na kupata rizki ya halali
Kwa Ambae anatamani kuja Kutembea Zanzibar ila anapata shida mbalimbali naomba wasiliana nami utatembezwa Zanzibar kwa bei nafuu sana mm ni mwenyeji wa Zanzibar na...
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.
Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.
Mwenyezi Mungu...
Utafiti wa Madaktari wa Idara ya Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebainisha kuwa mitindo mbalimbali ya kujamiiana inaweza kusababisha uume uliosimama kwa muda mrefu kuvunjika ukiwemo mtindo wa Mwanaume kukaliwa juu na Mwanamke mwenye uzito mkubwa.
Utafiti wa...
Kheri ya Eid pili wakuu na jumapili njema wenzangu na mimi, moja kwa moja kwenye mada wakuu mimi nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja almost ana miaka 21 na mahusiano yetu yaliendelea vizuri kwa muda wa miezi 3 lakini 3 past weeks huyo mwenzangu alikuwa analalamika sanaa kwamba mimi niko na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.