to yeye

Toyin AdegbolaListen popularly known as Toyin Asewo to re mecca (born 28 December 1961) is a Nigerian film actress, producer and director.

View More On Wikipedia.org
  1. To yeye yupo wapi?

    Huyu mwanafamilia wa Jf To yeye ameadimika yupo wapi?
  2. Daaaah, juzi nilikuwa kwenye harusi nikakanyaga waya kwa bahati mbaya Mziki ukazima

    Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima X wangu Aka lopoka Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja Mni follow basi jaman 😌
  3. Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  4. Tujadili mada ya evolution of man

    Wakuu salam za hap jukwaani. Leo kuna kitu nilikuwa nafikiria sana.kama hapo title inavyosema.hivi kweli mwanadamu anatokana na nyani yani kwaakili ya kawaida tu unaweza kujiambia mwenyewe mm nimetokana na nyani hv kweli kabsa? Yani na wizara kabisa inapitisha hzo ni mada mwanafunzi anatakiwa...
  5. Nampenda sana “To Yeye”

    Nothing to hide here. She's my everything the air I breathe my bread when am feeling hungry. I will cross the ocean for her, I will go bring her the moon, al be her fortress tall and strong. And if there's a mountain to move I will move that mountain for her. I dont fear death Am ready to...
  6. ‘To Yeye’ popote ulipo tambua unatembea na nusu ya moyo wangu

    Pasipo kujali umri wako, Una watoto wangapi, Kuna watangulizi wangapi, Una komwe, Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi🌹🍎💔
  7. Tour in Zanzibar

    Nawasalimu wakubwa na wadogo zangu Mimi ni kijana wa kitanzania Mzalendo ambae napenda kujishughulisha na kupata rizki ya halali Kwa Ambae anatamani kuja Kutembea Zanzibar ila anapata shida mbalimbali naomba wasiliana nami utatembezwa Zanzibar kwa bei nafuu sana mm ni mwenyeji wa Zanzibar na...
  8. Happy birthday to you To yeye

    Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu, Asante Jehova Asante Mama Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi. Tuitafute amani sikuzote Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini. Mwenyezi Mungu...
  9. Utafiti: Mitindo ya kujamiiana Inaweza kuvunja Uume Wako

    Utafiti wa Madaktari wa Idara ya Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebainisha kuwa mitindo mbalimbali ya kujamiiana inaweza kusababisha uume uliosimama kwa muda mrefu kuvunjika ukiwemo mtindo wa Mwanaume kukaliwa juu na Mwanamke mwenye uzito mkubwa. Utafiti wa...
  10. Tulipotezeana kwa muda kisa tu anahisi mimi nina mtu mwingine

    Kheri ya Eid pili wakuu na jumapili njema wenzangu na mimi, moja kwa moja kwenye mada wakuu mimi nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja almost ana miaka 21 na mahusiano yetu yaliendelea vizuri kwa muda wa miezi 3 lakini 3 past weeks huyo mwenzangu alikuwa analalamika sanaa kwamba mimi niko na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…