Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limeeleza kusikitishwa na hatua ya kumuengua mwanariadha Alphonce Simbu katika uchaguzi wa Kamisheni ya Wachezaji ya Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), kwa madai ya usaliti.
Rais wa RT, Silas Isangi, akizungumza na TBC Digital jijini Mwanza, amesema sakata...
Mwanariadha wa kimataifa Alphonce felix Simbu aliyekuwa anagombea uongozi wa Kamisheni ya Wachezaji (KAWATA) wa Olimpiki Tanzania jina lake limekatwa na wazee wa wanafiki na wazadiki wa TOC, ambao ni Henry Tandau na Rashid Ghulamu Sababu kubwa ni yeye simbu kukataa kukimbilia kampuni ya Asics...
Kamati ya Olimpiki Tanzania , wazee wa TOC wanatarajia kufanya uchaguzi tarehe 14/12/2024 eneo lile lile la kila wakati DODOMA HOTEL , Dodoma na wasamizi wa uchaguzi ni watatu tu. Uchaguzi utatanguliwa na uchaguzi wa kamisheni ya wanamichezo.
Filbert Bayi bado yuko busy kujipanga na rushwa ili...
Mheshimiwa waziri nimekusikia na kukuona kwenye mitandao ukiwa site huko manyara ukizungumza kuanzisha kituo cha michezo hasa riadha, na kuwaza kushinda mashindano mbalimbali;
Sasa ili ufanikiwe kwenye riadha, sumu kali ipo kwenye kamati ya olimpiki Tanzania (TOC) ikiongozwa zaidi na fisadi...
Michezo ya Olimpiki inasimamiwa na kuratibiwa na kamati ya olimpiki duniani (IOC) kwa ajili ya kusaidia michezo mbalimbali kwenye nchi nyingi Duniani.
Kuna michezo ya kuruka au miruko mbalimbali , kukimbia uwanjani na Barabarani , kutembea , Kurusha Tufe, Kurusha Mkuki , kurusha kisahani...
Mwanariadha wa zamani na kocha wa mchezo huo, Suleiman Nyambui amesema hakufurahishwa na kitendo cha Uongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) kutojitokeza kuwapokea Wanariadha wa Tanzania walioenda kushiriki katika michezo ya Olimpiki Jijini Parisi, Ufaransa.
Imedaiwa Mkuu wa Msafara huo...
Baada ya comments zangu kadhaa mitandaoni kuhusu michezo ya olimpiki nimepokea messages nyingi sana zikinisihi niandike uzi kuhusu mchezo wa riadha na nini kifanyike ili twende mbele. Baada ya tafakuri ya kina nimeona niandike huu uzi kwa maslahi mapana ya taifa. Kama kawaida maoni yangu kuhusu...
Honorable Minister, we would like to put it in your attention existence of the following facts;
1. That, since 2002 Tanzania Olympic Committee’s current top leadership has been in power untouchably and since then Tanzania has never gained a single Olympic Games Medal.
2. That, since 2002 there...
Kamati ya Olympiki ya Kimataifa (IOC) hutoa ruzuku kwa wanachama wake wote duniani wajulikanao kama (NOC) yaani National Olympic Committees kwa kila nchi ambayo inashiriki mashindano ya Olimpiki ya majira ya Joto (Summer Olympic Games) na majira ya Baridi (Winter Olympic Games).
Tanzania ni...
Wanariadha wapatao 9, Wanamichezo wengine na Viongozi wao wameondoka kwenda nchini Uingereza kushiriki Mbio za uwanjani na mbio Ndefu katika mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika Birmingham Uingereza (28 July to 8 August 2022)
Wanariadha maarufu wa nchini , waliokwenda Kenya kutafuta kufuzu mashindano ya kimataifa wameambulia nafasi ya 8 Kwa Mwanariadha wa kike, Huku Wanaume wa 3 wakiambulia patupu, Huku Mmoja akishika nafasi ya Mwisho kwenye Mbio za Mita 800.
Maandalizi ya Mashindano ya Riadha Bado ni But Sana...
RIPOTA PANORAMA
0711 46 49 84
IKIWA ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) kutangaza kuitisha mkutano mkubwa wa waandishi wa habari kujibu tuhuma za ufisadi ambazo zimekuwa zikielekezwa zaidi kwa Katibu Mkuu, Filbert Bayi, kamati hiyo imeshindwa kutekeleza azma...
KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa nchini.
Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka kwa wadau wa mchezo wa riadha walio...
Mikakati mibovu ya Filbert Bayi yakamilika baada ya TOC kumtangaza Thomas Tlanka (kinyume na maamuzi ya Kamati Tendaji) kuwa kocha wa timu ya riadha ya Tokyo. Amekuwa akitumia ukabila kwenye teuzi zake au kuhamasisha ukabila ndani ya Riadha.
Kwa Mfano, mtiririko huko hapa;
Inawezekana vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.