Habari zenu Wana ndugu nina mpango wa kumiliki Suzuki swift ila sasa nimeshindwa kufanya chaguo sahihi kati ya hizi new model toleo la 2006/8 na zile za kawaida za zamani.
Naomba kujua kwa wenye uelewa na magari, ipi nichukue ambayo ni Bora, imara, stahimilivu na inayotumia mafuta kidogo...