Picha: Marehem Benard Membe
Nimejaribu kukusanya ujasiri wa kuandika japo kwa uchache namna nilivyomfahamu Hayati Mheshimiwa Bernard Kamillius Membe, Mwanadiplomasia mahiri, Mwanasiasa kwa ajali, na Mwanaharakati kwa asili yake.
Wengi walimjua kwa sifa hizo nilizoziainisha. Rafiki zake wa...