tokomeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OC-CID

    Wana Tarime waja na Operatio Tokomeza Waitara Tarime (TOWATA)

    Mbunge wa Tarime, Mh. Waitara ni miongoni mwa wanadamu wanaopitia magumu sana jimboni kwake. Waitara hakubaliki sio na wana CCM wala Wapinzani. Na sasa wameanzisha mpango kazi wa kumuondo ndani ya chama chake asigombee tena ubunge. kwa ushauri huyu pamoja na Gambo watafute kazi nyingine za...
  2. Mr Bakari Yusuph

    SoC04 Tokomeza adhabu zinazokabili Mazingira yetu kama Dhamana Sahihi ya Tanzania Safi na Salama 2030

    Utangulizi Tanzania ni nchi iliyo barikiwa ecologia na bainuai nyingi ikiwemo ardhi yenye rutuba,Mito mkubwa kama Rufiji,Maziwa pekee ziwa Victoria ,mabonde misitu ya asili kama msitu wa asili wa Amani Tanga pamoja na bahari ya hindi na mengine mengi.Tunategemea mazingira yetu kwa...
  3. Y

    SoC04 Ufisadi utungiwe sheria kali kuliko makosa yote nchini

    Ufisidi ni janga kubwa sana linalofanya kazi ya kukandamiza Taifa letu lishindwe kuinuka kwa haraka maana nguvu nyingi inatumika kufanya mambo ambayo ingepaswa kutumika nguvu kidogo tu. Miondombimbinu mibovu, kutumia fedha nyingi kununua bidhaa nje haya na mengine mengi ndiyo matunda yatokanayo...
  4. plagiarism

    Ongezeko la Rushwa nchini

    Rushwa ni mwenendo usio faa anao ufanya mtu kwa manufaa yake binafsi. Kuna Aina nyinginza rushwa Kama rushwa ya fedha, ngono, Mali n.k Sababu za kuongezeka kwa rushwa nchini. Ongezeko la umaskini nchini hupelekea kutoa rushwa kwa lengo la kujipatia kitu flani mfano kazi. Ubinafsishaji...
  5. J

    SoC01 Tokomeza "UKIMWI"

    Pima ➡️ Jitambue ➡️ Ishi Unaweza kuishi na maambukizi ya VVU lakini usiwe na UKIMWI; Inawezekanaje? VVU ni Virusi Vinavyosababisha UKIMWI. UKIMWI ni Upungufu wa Kinga Mwilini. Mtu huambukizwa virusi vya Ukimwi (VVU) na sio UKIMWI, baada ya kupata maambukizi ya VVU asipochukua hatua ndio...
  6. mussaamos

    Serikali na Jamii ikomeshe ajira kwa watoto

    Matatizo mengi hapa nchini huwa endelevu kwa sababu ufuatiliaji wake huwa ni wa msimu, mpaka janga litokee ndo ufuatiliaji unaanza, tukio likiisha ufuatiliaji wa kukomesha tatizo unakoma na kusubiri tatizo jingine tena, huwa hakuna ufuatiliaji endelevu. Suala la ajira kwa watoto ni jambo...
Back
Top Bottom