Nyumba zaidi ya 500 zinadaiwa kubomolewa kwenye Kijiji cha Tondoroni Kata ya Kiluvya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani na maafisa wa Jeshi la Wananchi kufuatia uwepo wa mgogoro wa aridhi baina ya Jeshi hilo na wanakijiji.
Baadhi ya wananchi wanaeleza kwamba zoezi la ubomoaji ambalo lilianza juni...