Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu, tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka.
Swali ni hili, Amefuata nini?
Petition to strip Tony Blair of his knighthood reaches 25,000 names
'What a disgusting, shameful decision': Fury as Tony Blair is given a knighthood with Britons branding him a 'war criminal' and demanding honours system is scrapped – as petition calling for him to be stripped of the award...
Nisaidieni kumuuliza Rais Samia atuambie zile Solar tony blair aliahidi atagawa kwa shule zote za sekondari za vijijini imeishia wapi?
Aliahidi toka mwaka 2013 hadi leo hatujaona kitu
Pia alipewa tuzo kama mtetezi bora wa mashoga kwa miaka 30 mfululizo
Habari kamili hiyo...
Shirika la habari la South Africa walikuwa na mjadala kuhusu Mama Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake.
Hoja ya wachambuzi haikuwa kwa nini Tony Blair Bali ilikuwa credibility ya Tony Blair.
Wanasema Tony Blair hana credibility, hivyo kumteua kuwa mshauri ni kosa na wanashangaa imekuwaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.