Wakuu,
Rajab Abdul Kahali maarufu Harmonize amepanda Madhabahuni na kupigwa maombi na Pastor Tony Kapola
===
Harmonize afanyiwa maombi na Pastor Tony Kapola sikuche baada kuonyesha kuvutiwa na mtazamo wa mtumishi huyo wa Mungu na kuandika, "Nataka nione kile ambacho Mungu ataniambia!!"...
Mchekeshaji Eliud Samwel ameonesha gari alilozawadiwa na Pastor Tony Kapola baada ya kukabidhiwa na Mke wa Mchungaji kama alivyoahidiwa.
Pia, Soma: PICHA: Paul Makonda akiombewa na Pastor Tony Kapola
Kwamba, sisi ndio wateja, then wao ndio succesful business owners. Kwamba wanauza "tumaini la kufikirika" huku sisi tunatoa "pesa za kushikika"
Kwamba injili ilipaswa kuwa hivi? bodyguards, magari makali (tsh 100m+), maji for sale?
Si nilidhani revenues zinazotokana na vishilingi vya sisi...
Wakuu habari zenu,
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ame-share picha hizi akiombewa mbele ya Madhabahu na Pastor Tony Kapola katika ibada maalum. Pastor Kapola alimwombea Makonda hekima na ulinzi katika utendaji wake.
Pia, Soma:
+ Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.