Maisha Yana story ndefu,
Nilipenda kusoma science, sema nilikutana na matopic magumu sikuchelewa kukimbia.
Kwanza namlaumu huyo aliyetunga topic ya maths ya LOGARITHMS 😅 Aisee hili jiwe me teacher akifundisha natoka kapa.
Sijui kutumia four figure me kusoma sijui ndo manamba naona sielewi...