tottenham

  1. Mboju

    Full Time: Liverpool 4 -0 Tottenham Hotspur | EFL Cup | Anfield | 06.02.2025

    Muda mchache ujao wababe wa Anfield watakuwa uwanjani kumenyana na Tottenham huku wakimkosa Trent, BOSI wa Liverpool Arne Slot amesema beki wake wa kulia Trent Alexander-Arnold ataukosa mchezo huo wa marudiano wa nusu fainali ya Carabao Cup dhidi ya Tottenham Hotspur leo Alhamisi dimbani...
  2. JanguKamaJangu

    Marekani: Jay-Z atajwa kwenye mpango wa kuinunua Tottenham

    Rapa na mfanyabiashara huyo wa Marekani inadaiwa kuwa anaweza kuinunua klabu hiyo ya England kwa Pauni Bilioni 2.2 (Tsh. Trilioni 6.9) ikiwa mmiliki wa sasa Joe Lewis atataka kuiuza. Lewis (86) anakabiliwa na masuala ya kisheria kuhusu biashara zake na alifikishwa Mahakamani Julai 26, 2023...
  3. JanguKamaJangu

    Tottenham yamfuta kazi Kocha wa muda baada ya kufungwa 6-1

    Kocha Christian Stellini ambaye alipewa mikoba kuongoza timu hadi mwisho wa msimu baada ya kufukuzwa kwa Antonio Conte, naye amefikia ukomo wa ajira yake ikiwa ni wiki chache tangu alipopewa ajira hiyo Spurs ilifungwa 6-1 na Newcastle United katika mchezo wa Premier League, hivyo timu kwa sasa...
  4. Izy_Name

    Mdomo umemsaliti Antonio Conte Tottenham

    Kocha Antonio Conte ameachana na klabu ya Tottenham akisema ni kwa makubaliano na pande zote mbili ambazo zimefikia haki. Hata hivyo, ni wazi kuwa mdomo ndio uliomkumba Conte klabuni hapo kwa kauli zake motomoto huku Spurs wakipendelea kula njaa. Kocha Antonio Conte ameondoka katika klabu ya...
  5. Logikos

    Tottenham sponsorship row: SA Tourism to meet Ramaphosa over deal

    Wakati wengi wanashauri Utalii kuwekeza / kutangaza Kwenye Timu za huko Ughaibuni tuangalie hii issue huko South Africa; SA Tourism to meet Ramaphosa over Tottenham deal South African Tourism's controversial $51.5m sponsorship deal with English Premier League club Tottenham Hotspur will be...
  6. Dalton elijah

    Hugo Lloris ametangaza kustaafu kucheza Soka la Kimataifa

    Official, Golikipa wa Tottenham na Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Hugo Lloris amestaafu kucheza soka la kimataifa. Hugo ameichezea Ufaransa Michezo 145 akifanikiwa kufika fainali mbili mfululizo za kombe la Dunia na kushinda 1. Hivyo baada ya kustaafu Kylian Mbappe ndiye atakuwa Nahodha...
Back
Top Bottom