toufiq turky

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Mwenyekiti wa Makampuni ya Vigor ya Zanzibar na Mbunge wa Mpendae, Toufiq Turky aangazia fursa za utalii Comoro

    TOUFIQ TURKY AANGAZIA FURSA ZA UTALII COMORO Mwenyekiti wa Makampuni ya Vigor ya Zanzibar ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpendae Mhe. Toufiq Salim Turky amekutana na Waziri wa Utalii na Mazingira wa Comoro Mhe. Abubakar ben Mahamoud na kumueleza azma yake ya kuongeza uwekezaji katika sekta...
Back
Top Bottom