TOUFIQ TURKY AANGAZIA FURSA ZA UTALII COMORO
Mwenyekiti wa Makampuni ya Vigor ya Zanzibar ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpendae Mhe. Toufiq Salim Turky amekutana na Waziri wa Utalii na Mazingira wa Comoro Mhe. Abubakar ben Mahamoud na kumueleza azma yake ya kuongeza uwekezaji katika sekta...