1.0
In a quest to enhance and attract new natural experiences to city centers, the design, planning, and revitalization of certain urban spaces align with strategies aimed at improving the quality of life for residents while maintaining a connection with nature rooted in the local landscape...
Kwema wanajukwaa? napenda tutumie uzi huu kushare mambo mbali mbali yanayohusu utalii kama vile nafasi za kazi za utalii, mbinu na tecknolijia katika sector hii ili kuwezeshana na kubadilishana uzoefu, pamoja.
Utalii Tanzania na Afrika
Utalii ni sekta muhimu katika uchumi wa Tanzania na nchi nyingi za Afrika. Katika Tanzania, historia ya utalii inarudi miongo kadhaa nyuma, na inajumuisha vivutio vya asili kama mbuga za wanyama, milima, na maziwa. Ukweli kwamba Tanzania ina vivutio kama vile Mlima...
Sekita ya Utalii ni kubwa sana na ni pana sana, ina chain ndefu sana nitataja chache tu;
1. Mawakala wa utalii hawa wako huko ulaya
2. Wasafiridha watalii, kuja Tanzania, hapa kuna ndge
3. Waongoza Watalii hawa ni makampuni ya kupeleka watalii porini na gari.
4. Maduka ya vinyago
5.Wamiliki wa...
Secretary General of the United Nations World Tourism Organization (UN Tourism), Zurab Pololikashvili said Tanzania is set to host the 2nd United Nations World Tourism Organization (UN Tourism), Regional Forum on Gastronomy for the year 2025.
He said that during the opening of the 1st UN...
Wakuu kwema! Jamani nina mdogo wangu anataka kusoma ngazi ya cheti, sasa naomba mwenye kujua kwa mkoa wa arusha chuo gani pale anaweza akapata nafasi kulingana na ufaulu wake kama nilivyosema hapo juu. Naomba msaada wakuu kama kuna mdau anajua chochote basi anisaidie hapo mawazo.
Nawasilisha.
The Circular Safari: Reimagining Tanzania's Tourism Through Zero-Waste Adventures
Imagine the thrill of a Serengeti safari: a pride of lions feasting on a recent kill, a majestic elephant silhouetted against the setting sun, and the breathtaking vastness of the savannah. Now, picture this...
Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam. Nguzo nyingine ni shahada, swalat, swaumu na zakat.
Tofauti na Sunni, dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam, shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume...
Kilimo-Utalii ni aina ya utalii unaojumuisha shughuli za kilimo, ambapo wageni husafiri kwenda maeneo yaliyopangiliwa vema ili kupata uzoefu unaohusiana na kilimo na maisha ya vijijini na mijini. Aina hii ya utalii inalenga kutoa uzoefu wa vitendo na kielimu kuhusu kilimo, desturi, na mazingira...
The World Bank has suspended financing intended to develop tourism in southern Tanzania after allegations of killings, rape and forced evictions.
The bank began investigating last year after being accused of enabling abuses around Ruaha national park, which was due to double in size as part of...
Partnership: Mukawa (Hotels) Holdings Ltd Directors Ms Clare Njeri Githunguri (left) and Ms Lilian Joy Nyagaki Githunguri (right) exchange the hotel management agreements with Swiss-Belhotel International’s Senior Vice President Laurent Voivenel (centre) at the signing of a deal for the...
FENCORP ya Marekani, DAVID RICHARD INVESTMENT NA PRINCE KREATIVE za Tanzani, watadhamini Miss Utalii Tanzania 2023.
Kwa kuanzia wanadhamini ushiriki wa Tanzania katika fainali za Miss Tourism Africa 2023, zitakazo fanyika Lagos Nigeria Oktoba 2, 2023
Habari wakuu,
Naomba Kuuliza kwa yeyote anayefahamu au mwenye mawasiliano na vyuo tajwa hapo juu.
Maana kuna mtu nataka ni mfadhili kwenda kusoma moja ya chuo hicho kwenye fani ya Ordinary Diploma in Culinary Arts (food Production) au Ordinary Diploma in Food Technology and Human Nutrition...
Srinagar (Jammu-Kashmir) [India], May 31 (ANI):
Though some parts of Jammu and Kashmir are struggling economically, the region overall is seeing a tourism revival after Article 370 was abrogated in 2019 by the central government under Prime Minister Narendra Modi's leadership.
Kashmir, the...
Tanzania has signed Memorandums of Understating (MOU's) with the United States’ Major League Soccer (MLS), The National Football League (NFL) and National Basketball Association (NBA) clubs to promote the country’s tourism and investment opportunities.
The clubs involved in the lucrative deals...
Wazee wenzangu wale tunaozunguka nchi mbalimbali na mikoa mbalimbali kuonja mbususu za aina aina, leo tiririka nami nikupe orodha ya nchi zinazoongoza kwa kuwa na visu vikali Afrika.
Utafiti wa mwaka 2022 umeonesha kuwa nchi zifuatazo zinaongoza kwa wanawake warembo barani Afrika.
1...
Wakati wengi wanashauri Utalii kuwekeza / kutangaza Kwenye Timu za huko Ughaibuni tuangalie hii issue huko South Africa; SA Tourism to meet Ramaphosa over Tottenham deal
South African Tourism's controversial $51.5m sponsorship deal with English Premier League club Tottenham Hotspur will be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.