Tokea juzi ninapata shida kupata access ya kuingia inanigomea si kwa simu wala computer.
Shida ni nini?
Pia soma:
https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-hawakurupuki-kwenye-mambo-yao-na-mtu-akizingua-anafinywa-ndani-huwezi-kuta-wanaparuana-nje-hapa-ndio-chadema-mnafeli.2297839/
Naandika hili andiko kwa masikitiko makubwa sana kuhusiana na tovuti ya BRELA (msajili wa majina ya biashara). Hii website ki ukweli siyo user friendly. Ina complications kibao hadi inafika mahala mtu unaamua kuzima laptop nakuachana na zoezi la kusajili nakuanza kutafuta madalali wataomaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.