tovuti ya brela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Mkijaribu kuingia Website ya Brela (ORS) inakubali?

    Tokea juzi ninapata shida kupata access ya kuingia inanigomea si kwa simu wala computer. Shida ni nini? Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-hawakurupuki-kwenye-mambo-yao-na-mtu-akizingua-anafinywa-ndani-huwezi-kuta-wanaparuana-nje-hapa-ndio-chadema-mnafeli.2297839/
  2. R

    BRELA, ifanyeni tovuti yenu kuwa rafiki kwa watumiaji (user friendly)

    Naandika hili andiko kwa masikitiko makubwa sana kuhusiana na tovuti ya BRELA (msajili wa majina ya biashara). Hii website ki ukweli siyo user friendly. Ina complications kibao hadi inafika mahala mtu unaamua kuzima laptop nakuachana na zoezi la kusajili nakuanza kutafuta madalali wataomaliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…