toyota crown

  1. Kasri Homes Tz

    Car4Sale Toyota Crown Royal For Sale (Powerful For Masafa ya Mbali na Karibu)

    • Condition: Used in Tanzania • Second condition: Mint • Registration: D • Document: Full • Status: Duty & Insurance paid • Price: TZS 20 million • Location: Dar (0767157788) . ✓ saloon ✓ white ✓ year 2010 ✓ engine 4GR ✓ petrol ✓ cc 2490 ✓ seat 5 ✓ automatic ✓ gear stick shift ✓ from...
  2. hp4510

    Naitaji Toyota Crown Athlet ya mwaka 2011

    Jaman naitaji Toyota crown athlet ya mwaka 2011 Iwe namba E Ikiwa Rangi nyeupe au black no problem Price yangu ni milion Tisa Niko dar es salaam Kama kuna mtu anayo please ndm
  3. and 300

    Toyota Crown Japan Ni taxi

    Tunakumbushana tu kuwa Toyota crown Japan ni taxi tu. So tupunguze shobo na kuvimba bila sababu.
  4. B

    Mshindi wa kampeni ya SimBanking akabidhiwa gari aina ya Toyota Crown

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Kimweri (mwenye kanzu) akimkabidhi mshindi wa kampeni ya Benki ni SimBanking, Mayani Yahaya Hassan mkazi wa Dodoma funguo ya gari baada ya kuibuka kidedea katika droo iliyochezwa mapema mwezi huu. Wengine pichani ni wafanyakazi wa Benki ya CRDB ambao walishiriki...
  5. Concoo

    2008-2009 Toyota Crown Hybrid the Next trending Car in TZ

    Hili gari origin yake ni crown majesta, engine 3.5Ltr 😬😬lakini Usiiogope 😄😄maana ni HYBRID, mfumo wake ni CVT yaani kiufupi ulaji wake wa mafuta ni kama wa 2.0Ltr engine cars😋😋 kwa average ni 15km/ltr . Hii ni premium Edition ya crown iliyotengenezwa miaka iyo na kama tujuavyo kwa Majesta ndio...
  6. Mwizukulu mgikuru

    Car4Sale Gari zuri Toyota Crown namba D inauzwa

    Gari nzuri ipo mwanza mjini ni Toyota crown namba D..rangi ya silver ipo katika hali nzuri bei ni millioni 10 japo maongezi yapo..0769344686 nipigie tuzungumze.
  7. Bavaria

    2023 Toyota Crown

  8. Curtiz

    Car4Sale Toyota crown athlete (2004) for sale

    Toyota Crown
  9. Junnie27

    Car4Sale Toyota crown for sale

    Toyota Crown Year:2005 EngineCC:2500 Price 8,800,000/= Call/what's app 0626409908 dsm
  10. T

    Nimeelewa sababu ya vijana kupenda Toyota Crown

    Niwe mkweli, nilikua sijawahi kuendesha gari aina ya toyota crown na mbaya zaidi kwenye circle yangu hakukua na mtu anaemiliki toyota crown labda siku moja ingetokea by chance nikaiendesha. Mimi binafsi preference ya magari yangu ni SUV kama Prado, Harrier ama Vanguard ambayo nimewahi kumiliki...
Back
Top Bottom