toyota prius

  1. Mad Max

    Chagua Hybrid Moja hapa: Toyota Prius vs Honda Insight!

    Wakuu. Bila kupepesa macho, kuna izi hybrid mbili kutoka Japan (Toyota Prius na Honda Insight) ambazo zinafanana na kutofautiana mambo mengi sana. Kwa kuanza zote naomba tutumie za mwaka mmoja, 2009 ambapo kwa Prius ndio alikua anaanza generation ya tatu na Insight yeye anaanza generation ya...
  2. Kenny big

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Ukitaja magari kumi reliable ya toyota basi toyota prius haiwezi kosa top three, ni gari ambayo ni ngumu na reliable sanaa,comfortable ina smooth ride na nzuri sana kwa misele ya mjini na foleni hili la dar japokuwa ni ya umeme nusu yaani hybrid car Watu wengi tunaogopa kununua prius koz...
Back
Top Bottom