Salaam Wakuu,
Tulia amekuwa akiwatunuku followers wake mara kadhaa kwa kuwatumia mialama mara kadhaa, na mara zote amekuwa akiweka copy ya miamala hiyo kuonesha kuwa wahusika wamepokea.
Siku zote hizo amekuwa akiedit text hizo na kuondoa kisehemu kinachoonesha makato ya ada na tozo ya...
bunge
kuelekea uchaguzi 2025
matukio ya siasa tanzania
siasa tanzania
spikawabungetozokwaspikawabungetozokwa viongozi
tozokwawatanzania
tozo miamala ya spika