Kuna changamoto ambazo hatuzielewi sisi kama wananchi kuhusu ukusanyaji wa Kodi ya jengo kupitia "Luku", na Mimi naomba kupata ufafanuzi Kwa msaada pia wa wananchi wengine, yaani mimi nimekuwa nikinunua umeme Kila mwezi, na wanakata wakati mwingine hadi 6000 eti ni deni la pango, lakini Cha...
"Suala la ukusanyaji wa kodi za jengo kwa kutumia mita za LUKU ulishahamishwa kutoka TRA kwenda kwenye halmashauri na manispaa na majiji, imerudishwa serikali za mitaa.
TRA haihusiki tena na ukusanyaji wa kodi kupitia hizo LUKU." - Paul Walalaze, Meneja Elimu kwa Mlipakodi TRA alipoulizwa na...
Inauma, inasikitisha, inakera, Inaumiza, inasononesha na Inatia hasira, Serikali ya CCM ilivyo na mapuuza kwa raia wake.
Wameongeza Tozo kwenye LUKU kutoka 1500 kwenda 2000 kimyakimya bila kuwaeleza Watanzania. CCM haipaswi kuendelea kuongoza dola. ACT Wazalendo ni mbadala wa Uhakika
Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.
Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu ili hali mabwawa ya umeme yaliyotumia matrilioni ya kodi za wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.