Juzi nilifanya manunuzi mtandaoni ila nilichokutana nacho ni cha kusikitisha.
Nilinunua bidhaa kutoka nje, nikafanya malipo online kupitia visa card ya airtel, jumla ya malipo ilikuwa kama $112 plus transaction fee ikawa $115.35,ambayo ni kama Tsh 268000 na senti zake, lakini cha ajabu...