tozo ya luku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndolezi Petro

    Tozo za bila kufuata Sheria ni chaka la ufisadi

    Inauma, inasikitisha, inakera, Inaumiza, inasononesha na Inatia hasira, Serikali ya CCM ilivyo na mapuuza kwa raia wake. Wameongeza Tozo kwenye LUKU kutoka 1500 kwenda 2000 kimyakimya bila kuwaeleza Watanzania. CCM haipaswi kuendelea kuongoza dola. ACT Wazalendo ni mbadala wa Uhakika
Back
Top Bottom