Kusema kweli toka moyoni, kama mzalendo, naamini tozo inatakiwa kuendelea, though ipunguzwe makali kama mama anavyosema, kwasababu tunahitaji pesa za kuendeshea nchi. Wote wanaopinga ni wale wanaotamani serikali isipate pesa iendelee kutegemea mataifa ya nje.
Pia, nitashangaa sana kama kuna...
Nchi ya ajabu kupata Kutokea. Mbunge anachaguliwa na wananchi ili awawakilishe bungeni akawasemee mahitaji yao na kero zao. Mbunge kashiriki kupitisha sheria ya tozo ambayo ni kero kwa wananchi wake.
Wananchi wanalalamika Mbunge anageuka wakala wa Serikali kuwataka wananchi wake wavumilie...
Sera na sheria ni matokeo ya matakwa na matamanio ya wananchi. Na siku zote ongezeko la kodi na tozo ni linaaksi majibu ya serikali yenye lengo la kuyafikia matakwa na matamanio ya wananchi wake. Hali hii inakuwa mbaya zaidi katika siasa za ushindani.
Leo kuna kelele nyingi za kutukubaliana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.