Kwa wanaojua mchakato wa kununua gari nchini Tanzania hadi kukamilisha taratibu zoote za usajili, huwa gharama zinakuwa almost sawa na nusu ya bei ya gari ukilinganisha na nchi ilikotoka.
Na kama hujatembea nchi za wenzetu unaweza usielewe namna sisi tunavyokamuliwa makodi makubwa.
Mfano ni...
Tuipongeze serikali kwa jitihada inazofanya za kutafuta njia tofauti za kupunguza makali ya maisha kwa kupunguza tozo
Sasa ifikie wakati serikali ione ulazima wa kupunguza ushuru wa magari kwani ni mkubwa mno hata kwa gari lililotumika
Ikumbukwe tu gari ni moja ya nyenzo muhimu ya maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.