Serikali imetoa mapendekezo ya Bajeti yake Kwa mwaka 2024/25 yenye zaidi ya Shilingi Trilioni 49.3 na kuainisha vyanzo vya pesa hiyo na matumizi yake.
Ni vyema Sasa Wananchi na wadau tujikite kutoa maoni ambayo yatasaidia mjadala wa Bajeti Ili kama Kuna tozo unaona haiko sawa uibainishe na njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.