tozo za simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sunk Cost Fallacy

    Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

    Hii ndio taarifa ya motomoto.. ======= Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko...
  2. N

    Nigeria wazuia tozo za simu, Vodacom Tanzania wapata hasara ya bilioni 103 sababu ya tozo, bado mabenki kilio chao very soon

    Naam waziri wa mawasiliano na uchumi wa kidigital Isa pantami ilibidi aunde kamati ku review proposal ya kuongeza asilimia 5 ya Tozo hiyo ni mbali na VAT 7.5 wanayopigwa makampuni hayo ya simu ikaonekana ni OVER over taxation, waziri kaamua kuachana nayo. Hapo ni baada ya kuona kilio kikubwa...
  3. robinson crusoe

    Tozo za simu badala ya kujenga madarasa na zahanati sasa zinanunua magari ya maafisa elimu

    Huu ndo unyonge wa mwafrika. Badala ya mambo muhimu ya elimu, Wairi Ummy anajigamba kununua magari ya maafisa elimu. hizo ni pesa za wa-TZ zinatumika kununulia magari ya anasa Japan. Mashuleni hakuna madarasa, hakuna maabara, hakuna nyumba za waalimu. hakuna mabweni na hata madawati bado ni...
  4. Mung Chris

    Tuliambiwa pesa za tozo za simu ndio zitatumika kwenye miradi ya afya na elimu sasa fedha za IMF je?

    Waziri wa Fedha awe mkweli maana kama kajisahau vile anaendelea kutoa hotuba, alituambia fedha za tozo zitahusika kwenye Ujenzi wa madarasa na huduma za afya, leo hii fedha walizopewa na IMF anataja miradi ile ile kwamba ndio itakayo tekelezwa, huenda labda mm sijaelewa vizuri pamoja na kuwa...
  5. S

    Ukiitisha maandamano kupinga Tozo za Simu na Kodi za Majengo kupitia LUKU, watu wengi wanaweza kujitokeza

    Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi. Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi...
  6. S

    Tozo za simu zingetumika kutengeneza Mfuko wa Bima ambao ungekuwa maalumu kukabiliana na corona nchini

    Kabla hata Zungu hajapendekeza Bungeni kodi kwenye miamala ya simu, mimi nilileta wazo kupitia hapa JamiiForums nikipendekeza tozo kupitia line za simu zitumike kuunda Mfuko wa Bima ya Afya kwa kila mtanzania atakaekuwa tayari kuchangia bima hiyo kupitia line yake ya simu. Nilipendekeza namna...
  7. W

    Mtazamo wangu juu ya tozo za miamala

    MTIZAMO AGIZO LA RAIS, WAZIRI WA FEDHA PAMOJA NA WAZIRI MKUU JUU YA MABADILIKO YA TOZO ZA MIAMALA Wakati tozo mpya za miamala zinatangazwa, nilikuwa miongoni mwa watu waliounga mkono wazo hilo la Solidaty Fund Nililiunga mkono kwa kuzingatia lengo lake pamoja na matarajio yake. Miongoni mwa...
  8. peno hasegawa

    Tozo za simu kuondolewa ni nini hatima ya bajeti kuu ya Serikali Kwa kipindi Cha 2021/22

    Ni nini hatima ya bajeti Kuu ya serikali baada ya kuondolewa Kwa tozo za simu? Ni nini hatima ya miradi ya maendeleo ndani ya Halmashauri nchini? Ni nini hatima ya miradi mikubwa mfano SGR? Ni nini hatima ya wabunge wa CCM kwenye majimbo Yao Kwa kashfa hii ya tozo za simu? Ni nini hatima ya...
  9. Jidu La Mabambasi

    Tozo za simu: Bunge limeaibika!

    Swala la tozo za simu limeingia mkenge. Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu! Aibu kwa Ndugai Aibu kwa Bunge Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi Aibu kwa Zungu! Back to square one. Bado Tunataka hela za...
  10. Miss Zomboko

    Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
  11. J

    Tozo za Kizalendo zimeanza kuzoeleka, naona kafoleni hapa kwa mangi wa Tigopesa

    Kumbe kila jambo na wakati wake hapa Tegeta kwa mangi wa Tigopesa/ M pesa kuna kafoleni fulani watu wakidraw pesa kwa ajili ya shopping ya weekend. Kiukweli tusitishane kila mtu anapambana kivyake. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  12. mbegubora29

    Dhuluma ya tozo za simu

    Habari za asubuhi! Wana Jamii members! Kwanza nikiri mie sio mwanachama wa chama chochote na sitarajii kuwa nacho ila nami natumia fursa ya katiba kila mmoja ana Uhuru wa kutoa maoni juu ya muktadha wa Taifa. Malipizi yoyote bila makubaliano ni dhuluma hivyo kwa yeyote atakayeweza kukwepa...
Back
Top Bottom