tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Viongozi kama Waziri Mwigulu hawahusiki kabisa na tozo zote, tunalipa sisi walalahoi

    Ninatoa mfano wa Dr Mwigulu akiwawakilisha Mawaziri na Viongozi wote wa Serikali, hasa wale wateule wa Rais. Pakikucha Dr. Mwigulu anakuta nje gari la Ofisi limepaki anachukuliwa na dreva - gari limejazwa mafuta na Ofisi, so kwa kuwa hatumii gari lake basi tozo ya mafuta haipo tena. Hili...
  2. Tozo mpya za NMB kwa watumiaji wa Tanzanite Debit MasterCard kuanzia tarehe 28 Agosti, 2021

    Nimeona mahali tangazo lao kuhusiana na jambo hili , hebu lisome mwenyewe
  3. S

    Katika Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2024/2025, watafuta tozo zote huku wakidai Serikali yao ni sikivu

    Hawa watu wanajua uchaguzi bado uko mbali na ndio maana wanafanya yote haya licha ya kelele zote zinazopigwa na msitarajie watabadili chochote katika kipindi hiki(wakibadili, basi ni kidogo sana). Watachofanya ni kusubiri Bajeti ya kuelekea mwaka wa uchaguzi(Bsjeti ya 2024/2025) ndio watakuja...
  4. R

    Serikali wasikilizeni Wananchi kuhusu tozo

    Wananchi wa kawaida/maskini ni walipa kodi wazuri, kupitia huduma/manunuzi ya bidhaa wanayofanya direct wanakua wamelipa kodi ila tatizo lipo kwa serikali ktk kuhakikisha kodi hizo zinaingia serikalini. Mfano mdogo serikali inapoteza mabilioni ya kodi wanayolipa wananchi kupitia manunuzi kwa...
  5. R

    Wana CCM tusiwe makeyboard warriors: Tuingie mabarabarani kupinga kodi na tozo zisizohalali, kulalamika kwenye whatsapp group hakutasaidia

    Habari za Muda huu wana Jfs. Ni muda sasa wa takribani mwezi kumekuwa na introduction ya kile kinachoitwa tozo ambapo kwa mujibu wa Mh Rais Samia kupitia Waziri Wake Dr Mwigulu nchemba na wabunge wake wanadai ni kwa ajili ya solidarity funds ili kusaidia miradi mbali mbali ya kijamii kama...
  6. SoC01 Pendekezo: Serikali iweke Tozo kwa Wamachinga kukabiliana na changamoto kwenye Majiji na Miji

    Kwa miaka mingi serikali imekuwa ikipambana na tatizo la wajasiriamali wadogo wadogo (maarufu kama wamachinga) ambao wametapakaa kwenye miji mikubwa ya nchi hii. Ukiangalia kwa jiji kama Dar es salaam, imekuwa sasa ni kawaida kuona mabanda ya wamachinga karibu kila kona unayokatiza. Ni kweli...
  7. Kibonzo; Mwanzo wa tozo ulianzia huku

  8. Mimi si Mwanasiasa, ila kwenye hili la Tozo hapana

    Wakuu najua uzima upo wa kutosha sema mtakuwa na stress za Tozo tu nyie. Baada ya kuwasalimu ngoja kidogo na mimi nitie neno. Binafsi mimi si Mwanasiasa wala sijawahi kushabikia chama ila kwenye hili ngoja na mimi nilopoke kidogo. Awamu hii ya sita ambayo inaongozwa na mama shupavu kwango kama...
  9. Yaani hizo Tozo zinazochukuliwa haziwezi kuchochea ukuaji wa uchumi

    Hapo ni sawa na kusema unachakua hela mfuko wa kushoto wa suruali na kuzihamishia mfuko wa kulia. Ni mzungoko wa namna hiyo, we are distributing povert to our government.
  10. Nitafurahi endapo tozo ya mwezi Septemba itaenda kujenga flyover mataa ya Morocco

    Taarifa ya awali inasema takriban billion 50 zimekusanywa katika wiki 4 za mwanzo kupitia tozo mpya ya kizalendo kwenye miamala ya simu. Tumeambiwa kwamba tayari billion 15 na bilion 7 zimeshatolewa kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya 150 pamoja na kufanya finishing ya maboma ya madarasa yapatayo...
  11. Serikali iliunganisha umeme kwa Shilingi 27,000 ili kupata watu wengi wa kukata tozo

    Na nimeelewa sasa kuwa 1. Umeme kwa 27,000 ilikuwa plan ya muda mrefu kwanza vijijini halafu Sasa mjini ili wapate vichwa vingi vya tozo. 2. Watu flani walioishika serikali wanataka wafanye biashara zao za solar na magenerator hivyo wakachampion tozo ili watu wachukie wahamie kwenye Sola Kama...
  12. Tozo mpya 17, mwendelezo wa maumivu kwa Mtanzania

  13. Maisha ya wakatwa tozo la miamala katika picha

  14. S

    Ukiitisha maandamano kupinga Tozo za Simu na Kodi za Majengo kupitia LUKU, watu wengi wanaweza kujitokeza

    Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi. Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi...
  15. Vituo gani vya Afya vilivyopewa pesa ya Tozo?

    Tuna muda mfupi sana tangu "tozo" ianze kukusanywa, napenda kufahamu ni wilaya zipi zimepokea hio pesa ya Ujenzi wa vituo vya Afya? Tuanziee hapa
  16. Sheria za Tozo

    Hivi sheria za tozo mpya kila siku nani anatunga? Wabunge wanachojua wao ni kupandisha bei za vitu na kutupa maisha magumu kila Siku. Nani ataliongelea hili. Mtu ana mshahara wa millioni 11 kwa mwezi ila hatusikii wao wakikatwa. Kodi za nyumba zao zinalipwa na serikali, mafuta kwenye magari yao...
  17. Tozo za miamala ni njia ya kufidia pesa zinazokujenga miradi kama Burigi National Park na Ikulu Dodoma?

    Ingekuwa sawa kama ongezeko la tozo za miamala na mafuta kwa wanyonge lingelenga kwenda kununua meli kubwa za uvuvi ili tuvue kisasa kwenye kina kirefu, kununua matrekta kwa wakulima ili walime mashamba makubwa, kuchimba madini ya kimkakati kama chuma au kusambaza nishati ya gesi nchini ili watu...
  18. K

    SoC01 Watanzania na maumivu ya tozo za miamala

    Tanzania ni taifa lenye watu wa hali mbali mbali, wengi wao wakiwa ni wavuja jasho, walala hoi, kula kwao ni kwa mahangaiko, wanachokipata kwa siku huishia mdomoni mwao huku walio juu hawakumbuki hisani ya wanaowazunguuka na wakiziba masikio yao kunenepesha matumbo yao na familiya zao tu. Watu...
  19. Thesis ya Mwigulu Nchemba phd

    Tasnifu ya Mh. Nchemba iliyompa phd pale UDSM
  20. Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

    Wakuu, Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri ========== Mwigulu Nchemba-Waziri wa Fedha na Mipango =▷ Itakuwa aibu mtanzania yoyote alie hai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…