Hello Bandugu.
Baada ya msanii Nay the true boy kuja na wimbo wake, kugusa baadhi ya Mambo ambayo yanakera wananchi sana hususan 'WANYONGE' je ni sahihi kwa jina hili la 'Tozonia'?
Nilishawahi kusema nchi hii ni tajiri namaanisha Tanzania ni tajiri sana, hata mwenda zake ilikuwa ni kauli yake...