Serikali ya Ethiopia imetangaza kuidhibiti tena miji miwili ya kimkakati ya Dessie na Kombolcha, mwezi mmoja baada ya kushikiliwa na wapiganaji wa Tigray
Hatua hiyo ni ya hivi karibuni katika mfululizo wa ushindi wa haraka katika uwanja wa vita unaotangazwa na vikosi tiifu vya waziri mkuu Abiy...
Salaam,
Kwa mahaba yangu Nitakua naweka updates za mapigano yanayoendelea huko Ethiopia Kati ya Jeshi la Serikali na Waasi wa TPLF na Jeshi lao liitwalo TDF.
Kwanza Kuna vitu vya kuweka sawa
1. Vita siyo Kati ya Ethiopia na Jimbo la Tigray. Bali ni Vita ni Kati ya Ethiopia na Chama Cha TPLF...
Jeshi la Nchi hiyo limewataka Wanajeshi wa zamani kujiunga nao wakati linapambana na Waasi. Wito huo unakuja baada ya Vikosi vinavyoongozwa na TPLF kuendeleza nia ya kwenda Mji Mkuu, Addis Ababa
Hali inayoendelea Ethiopia imepelekea Marekani kutoa tahadhari kwa Raia wake kuondoka mapema...
Mtandao wa Kijamii wa Facebook umefuta Ujumbe wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed uliowahimiza Wananchi kujipanga na kuandamana kwa njia isiyovunja Sheria wakiwa na silaha ili kuzuia Waasi wa TPLF
Facebook imesema imeondoa Ujumbe huo kwasababu unakiuka Sera yake kuhusu kuchochea ghasia. TPLF...
Serikali Nchini humo imesema Waasi wa TPLF wameharibu maelfu ya Vituo vya Afya eneo la Kaskazini mwa Nchi hiyona kupelekea watu zaidi ya Milioni 1.9 katika Mikoa ya Amhara na Afar kukosa huduma.
Waziri wa Afya, Lia Tadesse amesema Waasi wameharibu Hospitali 20 na Vituo vya Afya vipatavyo 277...
Hivi karibuni Waziri Mkuu wa Ethiopia amewaomba wananchi waungane na wale wenye uwezo wajiunge na majeshi ya Ethiopia ili kupambana na waasi wa TPLF.
Hii imetokea baada ya kuonekana kuzidiwa kwa jeshi la Ethiopia kwenye mapambano dhidi ya wahasimu wao wa TPLF. Vita hii mwanzoni ilionekaba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.