Serikali imemfikisha katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha Afisa mauzo kutoka kampuni ya royal colour paint limited anayejulikana kwa jina la Silvester Charles akikabiliwa na makosa matatu utakatishaji fedha, kutoa risiti zisizo halali za malipo pamoja na kuisababishia mamlaka ya mapato...
Mhe Rais TRA Arusha wameblock baadhi ya machines za EFD za wafanyabiashara hapa Arusha, sijajua ni Arusha tu au Tanzania zima.
Halafu ili wafungue kuna rushwa kubwa wanadai yaani kwa ujumla hili zoezi ni sehemu kubwa ya upigaji unafanyika.
Kuna gate moja la barabarani wanakaa tra liko pale Makuyuni, jamani pale kuna tatizo. Iwapo utapita na lori lako pale umebeba mafuta ya kula umetoka zako Dar jamaa wanasumbua utadhani unavuka mpaka wakuingia nchi nyingine.
Mwisho wanataka pesa ambayo hata ukifikisha mzigo hauendi kupata faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.