Mwenye nyumba Kariakoo (Mtaa wa Sikukuu/Kipata) anataka kuvuruga watu. Hapo nyuma alikuwa anapokea kodi ya TZS 24,000,000/= p.a, lakini yeye analazimisha na mwanasheria wake kuandika kodi ya TZS 6,000,000 tu p.a.
Mwaka jana akasema kodi imepanda kutoka Mil 24 mpaka Mil 36! Akaambiwa kama...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Mkoa wa Dar es Salaam ni wa kipekee katika ukusanyaji wa mapato nchini.
Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alisema hayo Dar es Salaam juzi usiku wakati wa hafla ya kuwapa tuzo walipa kodi bora wa mikoa ya kikodi ya Dar es Salaam kwa mwaka 2023/2024...
Mamlaka ya mapato Tanzania inawakumbusha walipa kodi kuwasilisha ritani na kufanya malipo ya kodi ya zuio, PAYE na SDL kwa mwezi Januari 2025 kabla au mnamo Februari 7, 2025.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.