Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye hafla ya utoaji tuzo, Rais Samia ametangaza kwamba kwanzia mwaka kesho tuzo hizo hazitakuwa chini ya TRA lakini zitakuwa chini ya Rais.
Rais Samia amesema kuwa lengo la kufanya hivyo ni kuzipa tuzo hizo hadhi kubwa zaidi
Wakuu,
Rais Samia ashiriki halfa ya Utoaji Tuzo kwa Walipakodi wa Bora kwa Mwaka 2023/2024 leo Januari 23, 2025.
https://www.youtube.com/live/TG_FM-Bmau4?si=bv6zVfSuMokVe-uk
RAIS SAMIA
Akizungumza leo katika hafla ya utoaji wa tuzo, Rais Samia ametangaza kwamba kuanzia mwaka ujao, tuzo hizo...
Kama mtu umefanya biashara nchi hii utagundua kwamba aliyetunga sheria zingine za kodi hajawahi hata kuuza karanga.
Sheria za kodi na kanuni zake zimelalamikiwa kwa miaka nenda rudi, huku TRA wakisema hawahusiki na sheria hizo na wanawakandika wafanyabisahra kama zilivyoandikwa, liwalo naliwe...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amesema Tanzania yenye idadi ya watu zaidi ya milioni 60 lakini walipa kodi hawazidi watu milioni 2 jambo ambalo linasababisha watu hao wachache wanaolipa kodi kulazimika kubeba mzigo mkubwa na hivyo wakati mwingine kusababisha...
1. Malumbano kati ya Waziri wa fedha na Kamishina wa Mapato TRA
Msimamo wa Kamishina kuhusu kero za wafanyabiashara ni kutekeleza sheria wala siyo maagizo ya wanasiasa wa ngazi yoyote.
Kamishina TRA amewaambia Wafanyabiashara mara kadhaa mkitaka tuache kufanya kazi ambazo nyie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.