Wakuu,
Nimetoka hapo Tegeta one time, wakati naperuzi peruzi hapo ndio nikaipata hii.
Ni kwamba baada ya tukio lile la TRA sasa hivi kila siku polisi wanaenda maeneo hayo saa nne usiku, ukikutwa unazubaa zubaa hapo hakuna cha msalia mtume, wanakubeba kama mtuhumiwa na wewe unaingizwa kwenye...