Sema ee bwana Yesu mikononi mwako naiweka roho yangu. Lazima tupeane toba kwanza. Hii trace awards nimeisikia wasafi leo imenihuzunisha sana sana.
Alikiba kuwekwa hotel ya kawaida, Alikiba hakujulishwa muda wa kuperfor. Alikiba hakuoneshwa mandhari ambayo wanaenda kufanya show kama wengine...