trade

  1. X

    China vs U.S Trade War: Walmart kampuni ya Marekani yaanza kuonja joto la jiwe la tariffs za Trump kwa bidhaa za China

    Walmart kampuni ya kimataifa inamilikiwa na Walton family inashikilia rekodi ya kuwa muajiri mkubwa zaidi duniani ikiwa imeajiri watu zaidi ya milioni 2 katika nchi tofauti tofauti, na ina stores zaidi ya 10,000 sehemu mbalimbali duniani. Biashara yao kubwa ni kuuza bidhaa za aina tofauti...
  2. Mi mi

    Century of humiliation ilikuwa ni somo lenye maumivu makali kwa China hali leo ila kwetu Afrika Slave trade na Colonialism havituumizi

    Ukiulizwa sababu za China kuendelea na kujitegemea unaweza taja utitiri wa sababu lakini sababu kuu ya China kuendelea ni kuichukia historia nzima wao wanaiita "Century of Humiliation" https://en.m.wikipedia.org/wiki/Century_of_humiliation Hiki ni kipindi wachina waliishi katika maisha ya...
  3. Logikos

    Ontario slaps 25% tax increase on electricity exports to US in response to Trump’s trade war

    TORONTO (AP) — Ontario’s premier, the leader of Canada’s most populous province, announced that effective Monday it is charging 25% more for electricity to 1.5 million American homes and businesses in response to U.S. President Donald Trump’s trade war. Ontario provides electricity to...
  4. Go Bus

    Critical Minerals and the U.S.-China Trade War

    Dr. Umud Shokri Energy Strategist & Senior Visiting Fellow at George Mason University, U.S. The U.S.-China trade war grew more intense in 2018 due to several factors, including concerns about trade imbalances, intellectual property theft, and restrictions on market access. These issues led to...
  5. X

    China vs U.S Trade War: China yaijibu Marekani. Imeongeza kodi katika bidhaa za Marekani na zuio la kampuni za Marekani kufanya biashara na China.

    China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies. More than half of all soybean exports from the US go to China. (60-65% of US soybean export is to China!) China imposes retaliatory tariffs on...
  6. kali linux

    Hii trade ya Doncic na AD tutegemee nini NBA League msimu huu

    Duuh hii trade kama masihara vile ila ndio hivo, Luka Doncic kaja Lakers na AD kaenda Mavs. Msimu huu patachangamka sana. RRONDO
  7. Kaka yake shetani

    Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

    Mimi na miaka 14 kwenye soko la forex ila sio mafanikio ya haraka watu wanavofikilia.nimeona malalamiko mengi hapa JF bora kueleza ukweli. Asilimia kubwa forex ni High risk na inaweza kukuweka maskini kwa sekunde tu. Sababu kubwa kinacho changia ni watu kutokuelewa na kuwa na haraka ya...
  8. Mr Why

    Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za s lol slave trade, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok

    Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka...
  9. Q

    Nipe ndo nikupe!!! Butter trade Bado haijaisha kumbe!!!

    Daah!! Naandika kwa masikitiko makubwa hichi kilichonikuta. Week ilopita bhana uchumi uliyumba, nikasema ngoja nimcheki Ex wangu aniwezeshe kidogo, nikaamua nimtext. Mimi..." Dear X, kwema". Ex.... " Kwema sanaa, vipi nawe". Mimi ... " Niko poah , ila nimechalala hataree , niwezeshe basi 1k...
  10. Minderthinker

    East Africa slave trade

    Anaejua vitabu vinavyo zungumzia biashara ya utumwa Africa Mashariki kipindi cha ukoloni .
  11. Msanii

    Kamanda Muliro please trade carefully na wananchi. Polisi waishi ndani ya Katiba, Sheria na PGO imani irudi

    Kamanda Muliro nafahamu unasoma hapa jukwaani. Inawezekana mmejiundia ama kujijengea kasumba kwamba wanasiasa wanafurahia kazi yenu ya kutumia nguvu bila mizania. Mmekuwa mkiwakandamiza na kuwadharau sana wananchi wanapoonewa na askari wa chini yenu. Mmejipa majukumu ya kisiasa kinyume na...
  12. Jamii Opportunities

    Digital Transformation Advisor to East African Community

    Employment Opportunity Position: Digital Transformation Advisor to East African Community (EAC) Duty Station: Arusha, Tanzania Job Band: 4 Contract: Fixed Term About GIZ The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit (GIZ) GmbH is a federally owned enterprise supporting the German...
  13. Jamii Opportunities

    Digital Trade Advisor to East African Community

    Employment Opportunity Position: Digital Trade Advisor to East African Community (EAC) Duty Station: Arusha, Tanzania Job Band: 4 Contract: Fixed Term About GIZ The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit (GIZ) GmbH is a federally owned enterprise supporting the German...
  14. Jamii Opportunities

    Trade Developer at EA Foods October 2024

    Job type: Full-time Client Activation Identify and activate new clients within the assigned territory. Ensure proper onboarding and registration of clients. Customer Complaints Handling Address and resolve customer complaints in a timely and professional manner. Collaborate with the...
  15. T

    KWELI Edna Cintron mwanamke aliyekuwa akipunga mkono kwenye jengo la world Trade Center kwenye shambulio la Septemba 11, 2001 alifariki, hakuokolewa

    Kuna video inayomuonesha Edna Cintron akipunga mkono akiwa ghorofani baada ya shambulizi la septemba 11, 2001 nchini Marekani je aliokolewa au alifariki pale pale?
  16. Mohamed Said

    Elite Bookshop Sabasaba International Trade Fair

    ELITE BOOKSHOP SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR Siwezi kupita duka la vitabu bila kuingia ndani. Achilia mbali kuwa Elite ndiyo wachapaji wa kitabu changu cha watoto, "The School Trip to Zanzibar," kitabu kinachotumika kusomesha Kiingereza na wakati huo huo mwanafunzi anajifundisha historia...
  17. Mohamed Said

    Mazungumzo Sabasaba International Trade Fair Banda la UDSM

    MAZUNGUMZO SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR BANDA LA UDSM 1 Nimetembelea Banda la Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam nimekuta nje wameweka vitabu vingi vya historia. Nimeanza kutazama kitabu kimoja baada ya kingine. Sikuona kitabu cha Abdul Sykes. Nimemuuliza niliyemkuta pale kulikoni...
  18. A

    SoC04 Balance of trade and solving unemployment

    PREMISE For all countries in the world, balance of trade is a very important aspect that can make or break the country and its economy. Balance of trade is the difference between all imports and the exports that country makes, it encapsulates all movement of goods, services, capital or funds and...
  19. Mwl.RCT

    SoC04 Modernizing Tanzania's Maritime Infrastructure: A Vision for Efficient Trade and Sustainable Growth (10-Year Plan)

    I. A Nation Held Back: Bottlenecks & Lost Opportunities. Imagine a cashew farmer in Mtwara, their harvest ready for export, anxiously watching profits dwindle due to port delays – a reality shared by countless Tanzanians due to outdated maritime infrastructure. Inefficient ports, with vessel...
Back
Top Bottom