Daah!! Naandika kwa masikitiko makubwa hichi kilichonikuta.
Week ilopita bhana uchumi uliyumba, nikasema ngoja nimcheki Ex wangu aniwezeshe kidogo, nikaamua nimtext.
Mimi..." Dear X, kwema".
Ex.... " Kwema sanaa, vipi nawe".
Mimi ... " Niko poah , ila nimechalala hataree , niwezeshe basi 1k...